Dk Bilal Afungua Mkutano wa Jumuiya ya Madola…!

Makamau wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano Mkuu wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo Mei 25 kwenye Hoteli  ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

Baadhi ya washiriki waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia, kufungua rasmi mkutano wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo kwenye Hoteli  ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo baada ya kufungua rasmi leo kwenye Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam. Picha na OMR