Dk Bilal Afungua Mkutano Mkuu wa Wafanyabiashara wa Bima Afrika

Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dk. Bilal wakati akiwahutubia kufungua mkutano huo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo baada ya ufunguzi. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia burudani ya ngoma ya asili ya Pemba wakati akiondoka kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro baada ya kufungua rasmi Mkutano mkuu wa mwaka wa Wafanyabiashara wa Bima Barani Afrika. Kulia ni Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wafanyabiashara wa Bim Barani Afrika, uliofanyika Mei 28, 2014 kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wafanyabiashara wa Bima Barani Afrika, uliofanyika Mei 28, 2014 kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam. Picha na OMR