Dk. Bilal afungua barabara ya Nelson Mandela jijini Dar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya, Enrico Strampeli, wakikata upete kwa pamoja ikiwa ni ishala ya ufunguzi rasmi wa Barabara ya Nelson Mandela, uliofanyika Desemba 2, Temeke jijini Dar es Salaam. Kulia kwa Makamu ni Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli na (kulia) kwa Balozi ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadick.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa kumbukumbu baada ya kufungua rasmi Barabara ya Nelson Mandela, uliofanyika Desemba 2, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya, Enrico Strampeli, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi waliowezesha ujenzi wa Barabara hiyo. (Picha zote na Muhidin Sufiani-OMR)