Dereva Afanya Makosa Mbele ya Wanausalama Barabarani

Dereva afanya makosa mbele ya wanausalama barabarani

AJALI nyingi za barabarani nchini husababishwa na madereva wazembe wasio zingatia
sheria za matumizi sahihi ya barabara. Miongoni mwa ajali hizo nyingi husababishwa na madereva hao kuyapita magari mengine katika kona au milima kama basi hili linavyofanya katika kona ya Lugalo mkoani Iringa. Madereva “PAMBANA NA AJALI ZA BARABARANI KWA VITENDO, ZINGATIA SHERIA”.
Basi hili pia lilikuwa linafanya makosa hayohayo ya kulipita gari lingine katika muinuko na kona kali za Mlima Kitonga jambo ambalo ni hatari kiusalama.

AJALI nyingi za barabarani nchini husababishwa na madereva wazembe wasio zingatia sheria za matumizi sahihi ya barabara. Miongoni mwa ajali hizo nyingi husababishwa na madereva hao kuovatake magari mengine katika kona au milima kama basi hili linavyofanya katika kona ya Lugalo mkoani Iringa. Madereva “PAMBANA NA AJALI ZA BARABARANI KWA VITENDO, ZINGATIA SHERIA”.