Katibu wa Tuiko Mkoa wa Mbeya Ndugu Merbota Kapinga akizungumza katika mkutano huo . |
Mwenyekiti wa Tuiko Mkoaa wa Mbeya Daudi Mpolya akizungumza na wajumbe wa mkutano huoambao umefanyika katika ukumbi wa chuo cha wafanyakazi Otu jijini Mbeya Agosti 25 mwaka huu. |
Picha ya pamoja.
sayansi wakajikita zaidi kwenye tafiti mbalimbali ambazo zitaiwezesha serikali kuleta mapinduzi ya viwanda hususani kwa nchi kama Tanzania.
Amesema Sekta ya viwanda, ndio sekta pekee inayoweza kuleta mabadiliko ya kiuchumi katika Taifa lolote Duniani. Mkuu huyo wa wilaya ametoa kauli hiyo leo jijini Mbeya, wakati akifungua Mkutano mkuu na uchaguzi ngazi ya Mkoa wa chama cha wafanyakazi wa Viwanda Biashara, Taasisi za fedha na ushauri, TUICO ambao ulihudhuriwa nawajumbe kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Mbeya.
Ameongeza kuwa Taifa lolote duniani linahitaji watafiti wa kisayansi kwenye Kampuni, Taasisi na katika Viwanda kwani ndio nguzo pekee itakayoleta mageuzi ya kiuchumi ikiwa na kupunguza wimbi la umasikini kwa watanzania walio wengi. kwa nchi ilipo fikia inahitaji kuwa na viongozi bora na imara kwani viongozi imara ndio jibu la masuala yote ya maendeleo iwe kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Aidha, Munasa ametaka wajumbe hao, kuchagua viongozi watakao waletea mafanikio makubwa kwa kutumia watu wa kawaida ikiwa na uwezo wa kuamua masuala muhimu kwa kundi wanaloliongoza. Hata hivyo, akitoa neno la kushukuru, mjumbe wa mkutano huo,
Aidha kwa upande wake Mwenyekiti wa Tuiko Mkoa wa Mbeya Ndugu Daudi Mpolya amewataka wafanyakazi hao kufanya kazi kwa bidii na kujituma zaidi ili kutoa chachu kwa waajili wao kutoa motisha.