Dawa ya Wanaume Wafupi Hii Hapa…!

20130705-221604.jpg

KAMA wewe ni Mwanaume halafu ni mfupi kama kashata na bahati mbaya udongo uliishia katikati mapema wakati sura yako inatengenezwa, na hela ya kuhonga huna…Naelewa mateso unayoyapata mtaani maana kila msichana unayejitoa kumpenda kwa moyo na dhati anasema hawezi kuwa na wewe kisa we ni mfupi.

Anaogopa kuchafua ukoo na mbegu mbovu…Cha ajabu msichana huyohuyo after few days unakutana nae kakumbatiwa pale KFC na kijamaa kina mapengo kifupiii ila kina Vogue pembeni mdada anambusu hadharani… Usilie. Tafuta hela tu. Hawa viumbe ukiwa na hela tu wanakuona mrefu, utapendwa mpaka ujihisi unatembelea nyota ya Diamond.

“Money is the most handsome man on the Planet,if you have him he makes u handsome too”
– Seth De Jesus Giovanni

Source: Udaku Speacially