Datius Jovit Atunukiwa Shahada ya Elimu DUCE

Akiwa na dada yake mara baada ya kutunukiwa Shahada ya elimu kutoka Chuo Kikuu Kishiriki cha DUCE.

 Datius Jovit akiwa na dada yake mara baada ya kutunukiwa Shahada ya elimu kutoka Chuo Kikuu Kishiriki cha DUCE.

Datius Jovit

Datius Jovit

Datius Jovit

Datius Jovit

 Kijana Datius akiwa katika Picha ya Pamoja na Baba yake Mzazi (nyuma ya babu yake aliyevaa miwani) Babu zake na dada zake wakati alipotunukiwa Shahada ya elimu kutoka Chuo Kikuu Kishiriki cha DUCE.
 Datius Akiwa katika picha ya pamoja na Baba yake Mzazi (Kushoto) pamoja na Babu yake mdogo (kulia)
 Akivishwa taji na Dada yake aitwaye Neema
Akiwa na dada yake mara baada ya kutunukiwa Shahada ya elimu kutoka Chuo Kikuu Kishiriki cha DUCE. Picha Zote na www.josephatlukaza.com