Mjane Faidh Ngahyoma ambaye ni mke wa aliyekuwa Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la BBC, marehemu John Ngahyoma akiweka mshumaa kwenye kaburi la mumewe wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.