CRDB Banki Yasaidia Madawati Wilayani Kakonko

Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma, Kanali Hosea Ndagaa (kulia) akipokea sehemu ya msaada wa madawati 100 kutoka kwa Meneja wa CRDB Tawi la Kasuu, Paul Chacha. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Hamashauri ya Wilaya ya Kakonko, Lusubilo Mwakibibi (katikati) na ofisa wa CRDB.

Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma, Kanali Hosea Ndagaa (kulia) akipokea sehemu ya msaada wa madawati 100 kutoka kwa Meneja wa CRDB Tawi la Kasulu, Paul Chacha. Wanaoshuhudia ni kurugenzi wa Hamashauri ya Wilaya ya Kakonko, Lusubilo Mwakibibi (katikati) na ofisa wa CRDB.

 
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kakonko mkoani Kigoma Lusubilo Mwakabibi (aliyesimama kati kati) akizungumza muda mfupi kabla ya benki ya CRDB haijakabidhi madawati 100 yenye thamani ya Sh. Mil 5 kwa ajili ya shule za msingi wilayani humo.
 
 
 
    Mkuu wa wilaya Kakonko mkoani Kigoma Kanali Hosea Ndagala (kulia) akipokea kutoka kwa Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Kasulu mkoani Kigoma moja ya madawati 100 yaliyotolewa na benki hiyo kwa ajili ya wanafunzi wa Shule za Msingi wilayani humo.

Mkuu wa Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, Kanali Hosea Ndagala (walioka kulia) akiwa na Meneja wa CRDB Tawi la Kasulu, Paul Chacha (katikati) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kakonko, Lusubilo Mwakibibi. Kushoto waliosimama ni Katibu Tawala wa Kakonko, Zainab Mbunda.
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, Kanali Hosea Ndagala (kulia) akimshukuru Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Kasulu, Paul Chacha
baada ya kupokea msaada wa madawati 100 kwa ajili ya Shule za Msingi Wilayani humo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko, Lusubilo Mwakibibi.
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko, Kanali Hosea Ndagala (katikati) akiwa na Meneja wa CRDB Tawi la Kasulu, Paul Chacha (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kakonko, Lusubilo Mwakibibi (kushoto) na Katibu Tawala wa Kakonko, Zainab Mbunda.