CRDB Arusha Yawakumbuka Watoto

Meneja biashara CRDB tawi la Arusha Rose  Mkumbwa wa kwanza kutoka kulia akimpa zawadi Collins Godwin wa tatu kutoka kulia siku ya watoto

 
 Mkurugenzi wa CRDB tawi la Arusha  Chiku Issa wa pili kutoka kulia (Alie beba mtoto) na Meneja biashara tawi la Arusha Rose Mkumbwa (kulia) wakiwa na wateja wa account ya Junior Jumbo, wakati wa maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika
Meneja
biashara CRDB tawi la Arusha, Rose
Mkumbwa akizungumza na mtoto Collins
Godwin