Chuo Kikuu Ardhi Kubadili Taka Kuwa Mboji na Gesi

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi Prof. Idrissa Mshoro akiwaeleza waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu mpango wa chuo hicho wa kuendelea na jitihada za kutatua tatizo la udhibiti wa maji taka na tanga ngumu ikiwemo ujengaji wa miundombinu ya majaribio ya teknolojia za kibiolojia zinazobadili tanga ngumu au maji taka ambayo huzalishwa majumbani kuwa mboji na gesi asili ya kupikia, wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma wa chuo hicho Prof. Gabriel Kassenga.

Miundombinu ya majaribio ya teknolojia za kibiolojia zinazobadili tanga ngumu au maji taka ambayo huzalishwa majumbani kuwa mboji zilizojengwa katika maeneo ya Chuo Kikuu cha Ardhi, mtaa wa Migombani, kata ya Segerea na katika kiwanda cha Madawa ya Binadamu cha  Mansoor Daya Chemicals.

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi Bi. Minza Selele akiwaeleza waandishi wa habari jinsi mtambo wa kuzalisha gesi asili inayotokana na mabaki ya chakula, taka za jikoni na mbogamboga, wakati wa ziara iliyofanywa chuoni hapo kujionea jinsi teknolojia ya kubadili taka ngumu na kuzalisha gesi asili ya kupikia inayofanya kazi.