Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa Jengo la Chuo cha Utumishi wa Umma, lililopo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, (kulia) Waziri wa Utumumishi wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kheir. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akiwahutubia Wananchi, katika sherehe za ufunguzi wa jengo la Chuo cha Utumishi wa Umma, lililopo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Maalim Abdalla Suleiman,(wa pili Kulia) na Waziri wa Utumumishi wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kheir, (kushoto) .[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu]