
Mshambuliaji wa timu ya Stand United,Abasarim Chidiebele akizungumza na waandishi wa habari mkoani Tanga mara baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuitumikia timu ya Coastal Union,Picha na Mwandishi Wetu,Tanga

PICHA ZA CHIDIEBELE AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI MARA BAADA YA KUSAINI MKATABA WA KUITUMIKIA COASTAL UNION