January 11 ndio ilikuwa siku ya shirikisho la soka ulimwenguni FIFA kutangaza washindi wa tuzo kadhaa ikiwemo tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ambayo ilikuwa inawaniwa na Lionel Messi, Neymar na Cristiano Ronaldo.
FIFA usiku wa January 11 Zurich Uswiss wamemtangaza mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia kwa mara ya tano
Hapa Mate Hayamezeki kila Mtu Akisubili kusikia Jina lake Likitajwa
Acha Tujifotoe na sisi, ni kabla ya Sherehe za Kutangaza washindi wa tuzo mabalimbali
Messi Akiwa Na tuzo ya Mchezaji Bora Dunia ilikuwa inawaniwa na Lionel Messi, Neymar na Cristiano Ronaldo.
Hii ni list ya washindi wa tuzo nyingine za FIFA tangu mwaka 2009 hadi mwaka 2015
Kikosi bora
• Golikipa: Manuel Neuer,
Mabeki: Thiago Silva, Marcelo, Sergio Ramos, Dani Alves
Viungo: Andres Iniesta, Luka Modric, Paul Pogba,
Washambuliaji: Neymar, Lionel Messi, Cristiano Ronaldo
• Kocha bora wa mwaka Luis Enrique wa FC Barcelona
• Wendell Lira wa klabu ya Atletico Goianiense ameshinda tuzo ya goli bora la mwaka
• Mchezaji bora wa mwaka wa kike Carli Lloyd kutoka USA ameshinda tuzo hiyo kwa mara ya kwanza.
Ronaldo akisalimiana na mke wa Lionel Messi anayeitwa Antonella pembeni Neymar
Arli Lloyd na Lionel Messi wakiwa na tuzo zao