Cheka kuwania Ubingwa wa mabara

Cheka kuwania Ubingwa wa mabara

Na Onesmo Ngowi

SHIRIKISHO la Ngumi za Kulipwa na Chama cha ngumi Cha Marekani (IBF/USBA) kipo katika mchakato wa kuidhinisha pambano la Ubingwa wa Mabara kati ya Bingwa wa IBF katika bara la Afrika Francis Cheka na bingwa anayeshikilia Ubingwa wa Mabara, Benjamim Simon wa Ujerumani.

Nafasi ya Francis Cheka inakuja baada ya kutamba kwenye orodha ya viwango vya mabara vya IBF toka mwaka 2011 kama ifuatavyo:

January 2011: Alikuwa kwenye namba 15

February 2011: Alikuwa kwenye namba 14

March 2011: Alikuwa kwenye namba 14

April 2012: Alikuwa kwenye namba 13

May 2012: Alikuwa kwenye namba 13

June 2012: Alikuwa kwenye namba 12

July 2012: Alikuwa kwenye namba 11

August 2011: Alikuwa kwenye namba 10

September 2011: Alikuwa kwenye namba 7

October 2011: Alikuwa kwenye namba 5

November 2012: Alikuwa kwenye namba 6

December 2011: Alikuwa kwenye namba 6

January 2012: Alikuwa kwenye namba 6

February 2012: Alikuwa kwenye namba 6

March 2012: Alikuwa kwenye namba 5

Alihamia uzito wa super middleweight baada ya kuwa Bingwa wa IBF Afrika

April 2012: Alikuwa kwenye namba 5

May 2012: Alikuwa kwenye namba 14

June 2012: Alikuwa kwenye namba 15

July 2012: Yuko kwenye namba 15