CHADEMA YALIA NA JESHI LA POLISI

Binadamu wa CHADEMA, Mh. Tundu Lissu (MB), akizungumza na wanahabari Jumapili Nov 28, 2010 katika ofisi za Makao Makuu za chama chake Kinondoni jijini Dar es salaam. Alikuwa akizungumzia hatua ya polisi kupiga marufuku mikutano yao nchi nzima.