Chadema kufungua tawi Marekani

Bango la taarifa ya ufunguzi wa tawi la Chadema Marekani

Chadema kufungua tawi Marekani

Tunapenda kutoa habari hizi kwa Wa-tanzania wote na wapenda maendeleo, Siku ya Jumamosi ya Agosti 25 kutakuwa na hafla ya ufunguzi rasmi wa tawi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jijini Houston Texas Nchini Marekani. Wageni rasmi wa ufunguzi wa tawi hilo ni Freeman Mbowe na Jodeph Mbilinyi (Mr. 2/Sugu) Sherehe za ufunguzi zitaanza saa 5:PM (jioni)