CFO Motors yawafundisha Vodacom Miss Tanzania 2011 kuendesha Jeep Patroit

Ofisa Mauzo wa kampuni ya kuuza magari ya CFO Motors, Graciano Mfuse akitoa maelezo kwa baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 kabla ya kuanza mafunzo rasmi ya namna ya kuendesha gari aina ya Jeep Patroit lenye thamani ya Tsh Milion 72 ambalo Vodacom Miss Tanzania 2011 atazawadiwa siku ya shindano hilo Mlimani City Dar es Salaam Septemba 10.