CCM Zanzibar Wampa Tena Dk Shein Ugombea Urais

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye pia ni  Mjumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Makamu  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, wakati walipowasili kwenye Ukumbi wa Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria katika kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, ambacho leo kilipitisha jina la Dkt. Shein kuwania nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM.

Viongozi wa Meza Kuu wakiwa wamesimama baada ya kuingia katika ukumbi wa Mkutano.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt.  Ali Mohammed Shein, akizungumza na Wajumbe wa Kikao cha Kamati Malum, akiwashukuru baada ya jina lake kupitishwa na wajumbe hao kugombea Urais wa Zanzibar, katika Kikao kilichofanyika Julai 5, 2015 kwenye Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Zanzibar.

Kaimu Mwenyekiti wa CCM, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiendesha Kikao hicho maalum cha Kamati Maalum, baada ya kuteuliwa na Wajumbe wa Kamati hiyo. Kushoto) ni Balozi Seif Iddi. Picha na OMR

Baadhi ya wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandua kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein,

Picha ya pamoja baada ya kikao hicho.

Picha ya pamoja baada ya kikao hicho.