Wananchi wa Arumeru Mashariki wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa
Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa akizindua
Mratibu wa kampeni za CCM, jimbo la Arumeru Mashariki Mwigulu
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akimnadi
Sioi akihutubia kwenye mkutano huo wa uzinduzi wa kampeni za CCM.
Waendeshas pikipiki wakipoiga misele baada ya kufuka uwanjani.
Masanja Mkandamizaji wa Orijino Komedi akifanya manjonjo yake mbele ya umati, wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM leo.
Pamela Sioi Sumari akimnadi mumewe Sioi Sumari wakati wa uzinduzi