Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Ndugu Stephen Wassira akzungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na kamati ya maadili ambapo alisema hakukuwa na tuhuma zozote zaidi ya mashauriano na alisisitiza yeye kamwe hawezi shiriki kukivunja chama.
Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi baada ya kuhojiwa zaidi ya saa moja na nusu na Kamati Ndogo ya Maadili.

Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Ndugu Stephen Wassira akitoka nje ya ukumbi wa white house baada ya kutumia zaidi ya masaa matatu akihojiwa na Kamati.