Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akivalishwa skafu na Kijana Chipukizi Pili Hassan
Suluhu,wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM
Kisiwandui Mjini Unguja,kwa ajili ya Uzinduzi wa Sherehe za Madhimisho
ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akitia saini kitabu cha wageni katika Ofisi Kuu ya CCM
Kisiwandui Mjini Unguja,wakati wa Uzinduzi wa Sherehe za Madhimisho ya
miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, na Makamo wa
Pili wa Rais Balozi Seif Iddi,mara alipowasili katika viwanja vya
Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,kuzindua sherehe za
Maadhiumisho ya miaka 36 ya Kuzaliwa kwa CCM,(kulia) Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa Mjini Borafya Silima.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]