Mashabiki wa CCM wakimbeba mgombea wa CCM Jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini Godfrey Mgimwa, baada ya kupata matokeo ya awali na CCM kuongoza katika kata 11 kati ya 13 katika matokeo ya uchaguzi uliofanyika jana. Shamrashamra hizo zilifanyika Ofisi ya CCM Mkoa wa Iringa.
Mashabiki wa CCM wakishangilia kwa furaha baada ya kupata matokeo ya awali na CCM kuonekana kuongoza katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Iringa.
Mashabiki wa CCM wakishangilia kwa furaha baada ya kupata matokeo ya awali na CCM kuonekana kuongoza.
MATOKEO YA AWALI Yanaonesha kama Ifuatavyo:-
Mpaka sasa CCM inaongoza katika kata 11 kati ya 13
TOSA no.1 CCM 98, Chadema 20, CHAUSTA 0
Ipamba no2. CCM 104, Chadema 10, CHAUSTA 0
Isakulilo CCM 83, Chadema 8, CHAUSTA 0
Kilindi A CCM 69, Chadema 23, CHAUSTA 0
Ofisi ya Kijiji(Kilindi) CCM 117, Chadema 53, CHAUSTA0
Zahanati CCM 117, Chadema 67, CHAUSTA 1
Ifunda
Kivalali A CCM 99 Chadema 19 CHAUSTA 0
Kivalali B CCM 109 Chadema 14, CHAUSTA 1
Muwimbi CCM164, Chadema 22 CHAUSTA 0
Mahanzi CCM 130 Chadema 46 CHAUSTA 0
Ikungwe A CCmM 131 Chadema 23 CHAUSTA 0
Ikungwe B CCM 216 Chadema 13 CHAUSTA 0
Magunga CCM 184, Cadema 4 CHAUSTA 1
Wasa CCM 149, Chadema 15 CHAUSTA 0
Usengelidete CCM 260, Chadema 46, CHAUSTA O
Chanzo:- theNkoromo Blog
Picha za Matukio ya awali Jimboni.
Polisi akilinda moja vituo vya kupigia kura wakati wa uchaguzi
Wazee wenye matatizo maalum wakisubiri kuitwa kupiga kura kwenye kituo cha Mangalale A, jimbo la Kalenga, wakati wa uchaguzi huo
Msimamizi wa kituo cha kupigia kura cha Kalenga B, akimtafutia jina, Joseph Mdibule kwa ajili ya kupiga kura kwenye kituo hicho
Wananchi wakiwa kwenye kituo cha kupiga kura cha Kalenga A wakati wa upigaji kura, katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini.