CCM Marekani wafuturisha

Watanzania waliojumuika kwenye futari ya pamoja ilioandaliwa na tawi la CCM DMV, Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliopo Silver Spring, Maryland Nchini Marekani.

Wanachama wa CCM Tawi la DMV na baadhi ya wageni wawili kutoka Londan Uingereza


Picha na http://swahilivilla.blogspot.com/)