CCM ilivyokusanya wanachama wake Jangwani . Watu kutoka Temeke wakiingia viwanja vya Jangwani baadhi ya watu waliokuwepo kwani jangwani si mafuriko ya maji tena bali ni wana CCM aibu yetu aibu yao