Meza kuu ikifurahia wimbo wa kuisifu CCM kwenye hafla hiyo.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia umati wa wana CCM wa mkoa wa Dodoma walioandaa hafla ya kumpongeza kwa ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa CCM. Hafla hii imefanyika makao makuu ya CCM Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua shamba la mfano la kilimo cjha zabibu la SACCOS ya kijiji cha Chilangali two wilayani ambalo hutumia umwagiliaji wa matone Chamwino Mkoani Dodoma leo Novemba 15, 2012 akiwa ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Fatma Saidi na Mbunge wa Mtera, Lusinde
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete waakikagua shamba la kilimo cha Zabibu la SACCOS ya kijiji cha Chilangali two wilayani ambalo hutumia umwagiliaji wa matone Chamwino Mkoani Dodoma Novemba 15, 2012.Picha zote na Ikulu.