Ubalozi wa Kuwait Tanzania Wasaidia Kambi ya Kipindupindu Zanzibar

    Madawa na Maji vilivyokabidhiwa na Balozi wa Kuwait Nchini TanzaniaBalozi  Jasem Al-Najem, kwa Wizara ya Afya kwa ajili ya Kambi za Kipindupindu Zanzibar. Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem, akisalimiana na Daktari Kanda ya Unguja, Dk Fadhil Mohammed wakati wa hafla ya kukabidhi Madawa na Maji kwa ajili ya Kambi za Kipindupindu Zanzibar. Balozi Jasem Al-Najem, akizungumza na …

Rais Dk Magufuli Ateta na Mabalozi Pamoja na Makatibu Watendaji wa SADC

Balozi wa Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke akimkabidhi Kitabu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkaribisha Balozi wa Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke Ikulu jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri …

NSSF Yatoa Elimu kwa Wafanyabiashara Soko la Kilombero Arusha

SHIRIKA la  Taifa la  Hifadhi ya Jamii (NSSF) yazidi kutoa elimu juu ya hifahdi ya jamii kwa wananchi mbalimbali ikiwa ni  mpango maalamu wa kuwafikia wanachama  wengi zaidi. Katika mkoa wa Arusha NSSF imetoa elimu kwa wafanyabiashara wadogowadogo katika soko la Kilombero. Zoezi hilo litaendelea kesho tarehe 19/05 katika eneo la soko la Kilombero. Wananchi wakiwa katika foleni ya kujiandikisha uanchama wa …

RC Kilimanjaro ‘Aisaka’ Sukari Maghala ya Marenga Investment

    Shehena ya sukari katika maghala ya Marenga Investment. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecky Sadicky akiwasili katika ghala la kuhifadhia bidhaa la Kampuni ya Marenga Investment alipofanya ziara ya ghafla kwa lengo la kujionea hali ya upungufu wa sukari pamoja na kufanya ukaguzi mwingine aliiongozana nao ni kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Wilbroad Mutafungwa na Mkuu wa …