Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela mjini Moshi, Emanuel Kashusho akikabidhi zawadi ya T-shirt, Kalamu na Key holder kwa mgeni rasmi, Wencelaus Lindi mara baada ya kutembelea banda la Benki hiyo na kupata maelezo namna inavyoshirikiana na wakulima katika kukuza mitaji yao. Mgeni rasmi ,Wencelaus Lindi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Benki …
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kijazi Afanya Ziara Hospitali ya Kinondoni
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando (kushoto), akitoa taarifa fupi kabla ya kumribisha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (katikati), wakati wa ziara yake ya siku moja ya kutembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kinondoni ya Mwananyamala Dar es Salaam leo mchana. Kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, …
Mwanahabari Makongoro Oging’ Aagwa na Kusafirishwa kwa Mazishi…!
Picha ya Mwanahabari Makongoro Oging’ enzi za uwai wake. Mmiliki wa Blog ya Michuzi, Issa Michuzi akitoa heshima za kwa mwili wa marehemu. Mhariri wa Habari wa Gazeti la Champion, Salehe Ali akitoa heshima za mwisho kwa marehemu. Waombolezaji wakiwa na huzuni wakati wa kuaga mwili wa mpendwa wao Makongoro. Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV. Samu Mahela akitoa …
ESRF Yafanya Semina Kujadili Mpango wa Maendeleo Endelevu…!
Na Rabi Hume KATIKA kusaidia kukamilika kwa Mpango wa Maendeleo Endelevu ambao unataraji kumalizika 2030, Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Kijamii (ESRF) imefanya warsha ambayo imekutanisha wadau mbalimbali ili kuona ni jinsi gani wanaweza kubadilishana mawazo ili kufanikisha mpango huo nchini. Mgeni rasmi katika warsha hiyo alikuwa ni Mkurugenzi wa Kupunguza Umaskini na Kuinua Uchumi kutoka Wizara ya Fedha, Anna …
Kariakoo Family Development Foundation Yazinduliwa Rasmi…!
Wakongwe wa Kariakoo Senpai Yusuf Kivuli (kushoto) na Senpai Waheed wakiwa katika shoo ya Goju Ryu Karate katika uzinduzi wa Kariakoo Family Development Foundation. Mkurugenzi wa MMG, Ankal Muhidin Issa Michuzi akilishwa keki katika uzinduzi wa Kariakoo Family Development Foundation Picha ya Pamoja ya Wanakariakoo na Mgeni Rasmi.
Rais Dk Magufuli Akutana na Waziri Mkuu, Jaji Mkuu na Kamishna wa TRA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo na Rais Dk. Magufuli. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano …