Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Walinda Amani wa UN

   Mgeni rasmi Meja Jenerali James Mwakibolwa akipata maelezo mara baada ya kuwasili kwenye  maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Walinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa wa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam 31 Mei, 2016.  Kutoka kushoto ni Mgeni rasmi Meja Jenerali James Mwakibolwa, Mwakilishi Msaidizi Mkazi wa Shirikala Maendeleo la Umoja wa Mataifa …

Waziri Mkuu Majaliwa Afungua Mkutano wa Africa World Heritage Arusha

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa ‘Africa World Heritage’ kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumaane Maghembe. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wasanii waliojitokeza kumlaki wakati alipowasili kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kufungua mkutano wa ‘Africa World Heritage’ mjini Arusha Mei …

JK Ashiriki Mahafali ya Wanafunzi Vyuo Vikuu CCM 2016 Dar

 Vijana vyuo vikuu Dar es Salaam wakiserebuka katika mahafali yao.  Vijana hao wakiendelea kuserebuka katika mahafali ya 2016 ya Shirikisho la wanafunzi wa vyuo vikuu wa CCM.  Hapa ni furaha kwa kwenda mbele katika mahafali ya 2016 ya Shirikisho la wanafunzi wa vyuo vikuu wa CCM . Ni kama wanasema’  Hapa ni ushindi tu 2020 kwani vijana tumejipanga. Vijana wakiwa kwenye hafla ya …

Wabunge Wapimwa Afya Zao Mjini Dodoma…!

 Mbunge wa Viti Maalum, Bupe Mwakang’ata (CCM) Mkoa wa Rukwa, akipimwa mapigo ya moyo wakati wa programu maalumu ya wabunge kupimwa afya zao. Programu hiyo ilifanywa bure na Shirikisho la Vyama vya Magonjwa yasiyo ya Kuambukiza katika Zahanati ya Bunge, Dodoma. Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Leonidas Gama akipimwa afya na Muuguzi Asha Shao bungeni Dodoma  Mbunge wa Viti …