Lady Jay Dee Apeleka Ndindindi kwa Wabunge Dodoma…!

  MWANAMUZIKI Nyota wa Kike nchini Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee anayetamba na kibao chake cha #NdiNdiNdi amefanya onyesho alilolipa jina la #NaamkaTenaTour katika viwanja vya Royal Village, onyesho lililohudhuriwa na watu na watu mbalimbali akiwemo Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, Waheshimiwa Wabunge, Mkuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Alvaro Rodriguez …

NMB Yafanya Mkutano Mkuu wa Wanahisa Jijini Dar es Salaam

               Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ineke Bussemarker (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa 16 wa benki hiyo. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Fedha wa benki hiyo, Waziri Barnabas.  Ofisa Mkuu wa Fedha wa benki hiyo, Waziri Barnabas (kulia), akizungumza na wanahabari.  Wanahabari wakichukua …