DENI la zaidi ya milioni 100 linalodaiwa Kanisa la Sinza Christian Center la jijini Dar es Salaam limesababisha kutupiwa nje vyombo vyake na dalali aliyepewa tenda hiyo na mahakama na mmiliki jengo hilo, Bw. Prosper Rwendera. Akizungumzia tukio hilo mke wa mmiliki wa jengo hilo, Bi. Patricia Prosper alisema; “huyu aliyepanga hapa hakufuata utaratibu wowote na ndiyo maana tukapewa jengo letu.” Alipotafutwa msemaji …
Benki ya Posta Yatoa Msaada wa Madawati Sekondari ya Mbeya Day
Mkurugenzi wa Fedha toka Benki ya Posta Tanzania (TPB), Bi. Regina Semakafu akifurahi jambo na baadhi ya walimu na wanafunzi wa shule ya sekondari Mbeya Day jijini Mbeya mara baada ya kukabidhi madawati thelathini yenye thamani ya shilingi milioni moja na laki tano kama sehemu ya mchango wa benki hiyo katika sekta ya elimu June 8- 2015. Mwalimu Mkuu …
TANAPA Yatoa Vyeti kwa Wahariri na Wanahabari Waandamizi…
Mkurugenzi Mkuu Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA), Allan Kijazi (kulia), akiwa na viongozi wengine kabla ya kuanza zoezi la kutoa vyeti kwa wanahabari washiriki wa mkutano huo. Kutoka kushoto ni Jaji Tuzo za Habari za Tanapa, Jack Muna, Mwenyekiti wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (Tafori), Dk.Felician Kalahama na Mkurugenzi wa Utalii …
NEC Wapeleka Bilioni 12 ya BAKAA Kwa Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Bilioni 12 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na Mkurugenzi wa uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Kobwey ikiwa ni bakaa ya tume hiyo zilizopangwa kutumika na Tume ya Uchaguzi katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka …