Serikali Yasitisha Matumizi ya Daraja la Mbaka, Kibhundughulu

  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla mwenye miwani akitizama maendeleo ya ujenzi wa daraja Mbaka katika kijiji cha Kibhundughulu  wilayani Rungwe Mkoani Mbeya ambalo ujenzi wake ulikwama kutokana na ukosefu wa fedha hali ambayo iliwalazimu wananchi wa kijiji hicho kupita juu ya daraja hilo kwa kutumia kamba kitendo ambacho kilikuwa kikihatarisha maisha yao.   Mkuu wa Mkoa wa …

NSSF Yaelimisha Wajasiliamali Mwanza, Ni Kuhusu Huduma Zao

Ofisa Uandikishaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Kwandu Ikombe (kushoto), akiwaandikisha wanachama wapya wa NSSF katika eneo la Tanganyika Bus mjini Mwanza.  Afisa Mwandamizi wa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Aisha Sango akigawa vipeperushi vyenye taarifa kuhusu NSSF wakati wa zoezi maalum la utoaji  elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali za NSSF. …

Mashindano ya Kuhifadhi Quraan Zanzibar Yafanyika…!

Viongozi wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar wakifuatilia mashindano hayo yanayofanyika katika Masjid Loota Kiembesamaki Zanzibar na kuwashirikisha Vijana wa Umri mbali.  Viongozi wa Kamati ya Kuhifadhi Qur-an  wakiwa katikac Masjid Loota Kiembesamaki wakifuatilia Wanafunzi wakisoma Qur-an wakati wa mashindano hayo yalioandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar. Washiriki wa Mashindano ya Kuhifadhi Qur-an Zanzibar wakiwa katika Masjid Loota wakisubiri …

NSSF Yatoa Elimu kwa Umma Kuhusu Mafao na Huduma Mwanza

  Baadhi ya wananchi wakisubiri kujiandikisha uanachama wakati wa zoezi maalumu la utoaji elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali za NSSF, ambapo zoezi hilo limeanza katika eneo la Buhogwa jijini Mwanza.   Ofisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Amani Marcel (kushoto), akimkabidhi zawadi ya fulana mwanachama mpya wa NSSF wakati wa zoezi maalum la utoaji …

Madereva Bodaboda Dodoma Waandikishwa Uanachama wa NSSF

  Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius Kahyarara akiongea na Madereva wa Bodaboda (hawapo pichani) wakati wa Uzinduzi wa rasmi wa Kampeni ya Kuandikisha Madereva wa Bodaboda Mkoani Dodoma. SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF limefanya semina na kuzindua mpango wa kuwaandikisha maadereva wa Bodaboda Mkoani Dodoma, Mpango huo ulifanywa kwa ushirikiano wa Manispaa ya Mji wa Dodoma, VETA , Trafiki …

Miss Tanzania 1999 Asaidia Kituo cha Yatima Matumaini, Dodoma

  IMEELEZWA kuwa ili kuwawezesha watoto yatima ambao walizaliwa wakiwa na Virusi vya UKIMWI ambao wanapatikana katika Kituo cha Matumaini kilichopo Manispaa ya Dodoma, Watanzania wametakiwa kuungana kwa pamoja na kuwasaidia watoto hao ambao wanaishi katika kituo hicho ili kuwawezesha kuishi mazingira bora pamoja na kupata huduma za bora za afya. Hayo yalisemwa na Msimamizi wa Kituo cha Matumaini, Sister …