Wanafunzi Chuo Kikuu SMMUCo Watembelea Hifadhi ya Ngorongoro

  Simba dume  akiwa anaunguruma     Na Dickson Mulashani, Ngorongoro   SUALA la utalii wa ndani limeonekana kupata mashiko baada ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCo) kuhamsika na kuamua kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ili kujionea vivutio vya kipekee vinavyopatikana humo. Akizungumzia safari hiyo mmoja wa wanafunzi hao Emmanuel Kalenzi amesema waliguswa kupanga ziara hiyo kuunga mkono …

Wajasiliamali Wanawake Tanzania Kushirikiana Kibiashara na Comoro

    ZIARA ya Kikundi cha Wajasiriamali Wanawake kutoka Tanzania (Tanzania Saccos for Women Enterprenuers) imezaa matunda baada ya kikundi hicho cha kina mama kufanikiwa kuingia mkataba wa ushirikiano (MoU) katika masuala ya biashara na Kikundi cha Wanawake Wajasiriamali wa Comoro (Association of Women Entrepreneurs in Comoro). Makubaliano hayo ya ushirikiano yalifikiwa kufuatia ziara ya siku mbili iliyofanywa na Kikundi cha …