Mkurugenzi Mkaazi wa Kampuni ya Resolution Insurance Ltd Oscar Osir akipata iftar pamoja na Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam Sheikh Alhadi Musa Bin Salum katika iftar kwa ajili ya wateja na wafanyakazi wake iliyoandaliwa na kampuni ya Resolution Insurance LTD jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkaazi wa Kampuni ya Resolution Insurance Ltd Oscar Osir akiongea na wadau mbalimbali(hawapo …
Banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii Lavuta Wengi Sabasaba
Tuzo ilizopata NSSF katika Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa. Baadhi ya maofisa wa NSSF wakiwa katika picha ya pamoja. Ofisa Masoko Mwandamizi, Amina Mmbaga akimsiliza mmoja wa wanachama wa NSSF. Ofisa Mauzo wa NSSF,Abbas Ramadhani (kushoto), akitoa maelezo kwa mmoja wa wanachama waliofika katika banda la NSSF. Ofisa Uwekezaji wa Shirika la Taifa la hifadhi ya Jamii (NSSF), …
PBZ Zanzibar Yamwaga Misaada Kuadhimisha Miaka 50
Wafanyakazi wa PBZ wakijumuika na Mkurugenzi Mtenda wa PBZ Ndg Juma Ameir katika kutoa huduma kwa wateja ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha miaka 50 ya PBZ tangu kuazishwa kwa benki hiyo wakiwa katika Tawi la Malindi Zanzibar. Wateja wa PBZ wakipita huduma za Kibenki katika Tawi la PBZ Malindi Zanzibar. Meneja wa Benki ya Watu wa Zanzibar Tawi la Malindi …
RC Makonda Atembelea Banda la UN Maonyesho ya Sabasaba
KATIKA kuelekea kilele cha Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametembelea banda la Umoja wa Mataifa (UN) lililopo katika ukumbi wa Karume kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar. Makonda alifika katika banda hilo na kupata nafasi ya kupata maelezo kutoka kwa wafanyakazi wa UN kuhusu kazi ambazo …
Waziri Mkuu Majaliwa Ahitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipohitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam jana Juni 26, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam jana Juni 26, 2016 kuhitimisha …
TRA Yawapa Elimu ya Kodi Wanafunzi Chuo cha Usimamizi wa Fedha
KATIKA kuhakikisha kunakuwa na wasomi ambao wanakuwa na elimu kuhusu kodi, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imefanya uzinduzi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kodi (Student Tax Association) katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) ambapo wanachama hao watatumika kutoka elimu kwa wananchi wengine kuhusu kodi. Akizungumza katika uzinduzi wa jumuiya hiyo, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, …