Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dr. Pindi Chana akisalimiana na Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe alipotembelea banda la LAPF katika maonyesho ya biashara ya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya LAPF Prof. Faustine Bee (katikati aliyeshika tuzo ya ushindi wa Lapf) akiwa katika picha …
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Atembelea Maonesho ya Biashara Sabasaba…!
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye banda la bidhaa zitokanazo na maziwa la Kampuni ya ASAS, viwanja vya Kimataifa vya Maonesho ya Biashara (Sabasaba), Kilwa Road jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage. …
MKURUGENZI MKUU LAPF ATEMBELEA MAONYESHO YA SABASABA
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF Bw. Eliudi Sanga akimsikiliza Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe wakati alipotembelea katika banda la Mfuko wa Pensheni wa LAPF kwenye viwanja vya maonyesho ya biashara vya Mwalimu J.K. Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam. Mkurugenzi Mkuu …
Waziri Mwijage, Kaimu Jaji Mkuu, Watembelea Banda la WCF Sabasaba
Mhe. Waziri Mwijage, (kulia), akiagana na Bw. Sebera baada ya kutembeela banda hilo na kuelimishwa kuhsuu majukumu ya Mfuko. Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe.Profesa Ibrahim Hamisi Juma, (kushoto), akikaribishwa na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Sebera Fulgence, alipotembela banda hilo kwenye hema la Jakaya Kikwete viwanja vya Mwalimu Nyerere maarufu kama …
Dk. Mengi Ataka Wasambazaji Kushawishi Uwekezaji
MAKAMPUNI ya Tanzania ya uwakala wa usambazaji wa bidhaa za kutoka nje ya nchi, wameshauriwa kuyashawishi makampuni ya nje kujenga viwanda vya kuzalisha bidhaa hapa hapa nchini. Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania – TPSF Dr Reginald Mengi ametoa ushauri huo jijini Dar es salaam wakati akitembelea mabanda ya maonyesho ya Kimataifa ya Biashara, na kusisitiza kuwa kwa kufanya hivyo …