Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye swala hiyo. Mratibu wa swala hiyo ya Ed El-Fitr, Sheikh Othman Abdallah Dishi (kulia), akizungumza katika swala hiyo. Watoto wakishiriki swala hiyo. Sheikh Zaki akiwasalimia waumini wenzake waliokuwepo kwenye swala hiyo. Ibada ikiendelea. Swala ikifanyika katika viwanja hivyo vya Mwembe Yanga. Sheikh Abdulkadir Mohamed akiongoza swala ya Ed El- Fitr. Waumini wa …
PBZ Yakabidhi Msaada kwa Watoto yatima Zanzibar
Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Ndg Juma Ameir akisalimiana na Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar alipowasili kwa ajili ya kukabidhi misaada ya Vyakula kwa Watoto hao kusherehekea Sikukuu ya Eid Firty. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Ndg. Juma Ameir akizungumzac wakati wa kukabidhi msaada wa Vyakula kwa Watoto wa Kijiji cha SOS Zanzibar.kushoto baaddhi …
AccessBank Yawaletea Wajasiliamali Akaunti Isiyo na Gharama Sabasaba
BANKI ya ‘AccessBank’ inayoshiriki Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam imeendelea kutambulisha akaunti yake ya ‘RAHISI’ yenye mvuto mkubwa kwa wajasiliamali mbalimbali. Akizungumza leo kwenye Banda la AccessBank kwenye maonesho ya Sabasaba, Ofisa Masoko wa banki hiyo, Sijaona Simon alisema Rahisi …
Amotel is the First Linsenced MVNO Starts Operations in Rural Tanzania…!
Arrival of the guest of honour for the official launch of Amotel’s operations in Mwanga district. The Deputy Minister for Works, Transports & Communications, Hon. Eng. Edwin Ngonyani is being received at the district headquarters in Mwanga to officiate the launch of AMOTEL as the first linsenced MVNO to operate in rural Tanzania. The Guest of Honour, Deputy Minister for …
Mwanahabari Omary Masoud wa Azam Media Azikwa Jijini Dar
Baadhi ya wafanyakazi wa Azam Media wakiwasili katika Msikiti wa Maamur uliopo Upanga Jijini Dar es Salaam ambapo mwili wa marehemu Omary Masoud uliswaliwa. Marehemu Omary alifariki dunia Julai 2 kwa ajali ya gari katika eneo la Boko. Waombolezaji wakiwa Msikitini Upanga. Mwili wa marehemu ukitolewa Msikitini kwa ajili ya maziko. Baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV wakishirikiana na …