Maadhimisho ya Siku ya Familia kwa Wafanyakazi wa TBL Arusha…!

  Wanafamilia wakicheza mchezo kwa kukimbia wakiwa wamewabeba wenza wao ikiwa ni sehemu ya Familia ya wafanyakazi wa kiwanda cha Bia(TBL) mkoa wa Arusha.   Watoto wakichorwa michoro mbalimbali na mtaalamu wa (Face Paintings) ikiwa ni sehemu ya kuwafanya wafurahie siku ya leo   Watoto wa kiume wakitimua mbio mita 100 .   Hawa pia waliona wasiachwe nyuma   Mchezo …

Mwenyekiti Bodi ya NSSF, Msajili wa Hazina na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasilino na Uchukuzi Watembelea Banda la NSSF

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mhandisi Joseph Nyamhanga akifurahi baada ya kupewa Maelezo ya Mradi wa Viwanja Vya Kiluvya na Meneja kiongozi Masoko na Uhusiano wa NSSF Eunice Chiume alipotembelea banda la NSSF. Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru akifurahia maelekezo aliyokuwa akipewa na Meneje Kiongozi wa Masoko na Uhusiano Eunice Chiume alipotembelea banda la NSSF kwenye maonesho …

Kaimu Naibu Mkurugenzi wa TANESCO Atembelea Banda lao Sabasaba

 Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji Usambazaji na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Sophia Mgonja (wa tatu kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa shirika hilo katika maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam 2016 kwenye viwanja vya Biashara vya Mwalimu Nyerere  Barabara ya Kilwa  Dar es Salaam leo.   …