Rais Dk Magufuli Azungumza na Wakurugenzi Wateule na Majaji

Rais Dk. John pombe Magufuli akiongea na wakurugenzi wateule wa Halmashauri, Miji, Manispaa na Majiji Ikulu jijini Dar es salaam Julay 12,2016 Baadhi ya Wakurugenzi wateule wa Halmashauri, Miji, Manispaa na Majiji wakimsikiliza kwa makini Rais Dk. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Julay 12,2016 Mkurugenzi wa halmashauri ya Itigi Luhende Pius Gerald akionyesha vyeti vyake vya masomo …

NMB Yasaidia Familia ya Mapacha Wanne, Yatoa Milioni 10…!

          BENKI ya NMB imetoa kiasi cha shilingi milioni 10 ikiwa ni kuwasaidia watoto mapacha wanne waliozaliwa na familia ya Bwana Abednego Andrew Mafuluka mkazi wa Kimara Mwisho, jijini Dar es Salaam. Familia hiyo iliamua kuomba msaada baada ya Bi. Sara Dimosso mke wa Andrew Mafuluka kujifungua mapacha wanne ambao wameelemewa kimalezi huku wakiwa na kipato …

Makamu wa Rais Azindua Mradi wa Green Voices Tanzania

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan (kulia) akiwa na kinyago cha mwanamke baada ya kuzindua mradi wa Green Voices Tanzania. Katikati ni mfadhili wa mradi huo, Makamu wa Rais mstaafu wa Hispania, Maria Tereza Fernandes de la Vega, na kushoto ni Mkuu wa Wilaya Ilala, Sophia Mjema.   MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya …

Hivi Ndivyo Shule ya Lindi Sekondari Ilivyoteketea kwa Moto

                    SHULE ya Sekondari Lindi iliyopo Mkoa wa Lindi imeteketea kwa moto. Taarifa za awali kutoka kwa mashuhuda zinasema chanzo cha moto huo ni hitlafu ya umeme iliyosababisha cheche na baadaye kuzuka moto. Hata hivyo Jeshi la Polisi mkoani hapa bado linaendelea na uchunguzi kubaini chanzo cha ajali hiyo ya moto. …

Waziri Mkuu wa India Alivyo Waaga Watanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi kabla ya kuondoka katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili nchini. Waziri Mkuu wa India Narendra Modi akiagana na Makamu wa Rais Samia Suluhu …

Portugal Yatwaa Ubingwa wa Euro 2016…!

                TIMU ya Portugal imetwaa ubingwa wa Ulaya ‘Euro 2016’ baada ya kuifunga France goli moja kwa mtungi. Portugal ilifanikiwa kutwaa ubingwa huo katika dakika ya 109 baada ya mshambuliaji wake Eder kuifungia goli la shuti la mbali la kushtukiza lililomshinda mlinda mlango wa timu ya France. Mchezaji tegemeo wa Portugal, Cristiano Ronaldo …