Profesa Mbarawa Afanya Ziara Uwanja wa Ndege wa Kimataifa, JNIA

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (kushoto), akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni ya kuhudumia mizigo, Ndege na abiria ya Swissport inayotoa huduma katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), alipofanya ziara ya siku moja ya kutembelea uwanja huo Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Swissport, Gaudence Temu (wa pili kushoto), akimuelekeza Waziri wa Ujenzi, …

Wazazi Wamficha Mtoto Mlemavu Ndani kwa Miaka 11

  Kijana Emanuel Fedrick (20) Mkazi wa Mwambenja Kata ya Ilemi jijini Mbeya  mwenye tatizo la ulemavu wa viungo na akili akiwa amelala ndani ,kwa zaidi ya miaka 11 sasa kwa kile kinacho elezwa kuwa ni kufichwa ndani na wazazi wake ili kuondoa aibu ya familia .   Mahali anapo lala  kijana Emanuel Fedrick (20)Mkazi wa Mwambeja Kata ya Ilemi jijini …

Rais Magufuli Akabidhiwa Madawati na Jeshi la Magereza na JKT

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa amekaa kwenye moja ya Dawati katika hafla hiyo fupi ya ugawaji wa Madawati hayo. Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akimuonesha Rais Dk. John Pombe Magufuli sehemu ya Madawati yaliyotengenezwa na fedha zilizopatikana kutokana na kubana matumizi kutoka Ofisi ya Bunge …

Wazazi Watakiwa Kuwa Makini na Marafiki wa Watoto…!

    Kutokana na baadhi ya watoto kuwa na tabia ambazo hazipendezi watu bila ya kufahamu chanzo chake, imeelezwa kuwa ni vyema wazazi wakajenga mazoea ya kuwafahamu watu ambao wanakuwa karibu na watoto wao ili kuchukua hatua mapema. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Shule ya Watoto ya O’Jays Kiddies Zone, Usia Nkhoma Ledama wakati wa mahali ya nne ya shule …

Wabaya wa Yanga Kuwasili Alhamisi na Kikosi Kamili

Wapinzani wengine wa Young Africans, katika michuano ya kuwania Kombe la Shirikisho Barani Afrika, timu ya mpira wa miguu ya Medeama kutoka Ghana, itawasili Dar es Salaam, Tanzania Alhamisi Julai 14, 2016 kwa ndege ya Shirika la Ndege la Kenya (KQ), imefahamika. Young Africans itaikaribisha Medeama ikiwa ni mchezo wa tatu kuwania taji hilo hatua ya makundi. Mchezo utafanyika saa …