SHIRIKA la Hifadhi ya Taifa ya Jamii NSSF Makao Makuu ikishirikiana na Ofisi ya Mkoa wa Lindi Imechanga Jumla ya Shilingi Milioni 50 Kwa Ajili ya Kuchangia Harambee ya Kusaidia Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Lindi iliyoungua Moto Wiki iliyopita. Kwa Kutambua Umuhimu wa Elimu kwa Watoto Shirika Hilo Kupitia Mkurugenzi Mkuu Wake, Aliewakilishwa na Meneja wa Mkoa Bi Nour Aziz Limetoa ahadi …
Kampuni ya Bia ya Serengeti Yazinduwa Bomba la Kudhibiti Maji Taka
Naibu Waziri ofisi ya Makamu wa Raisi Mazingira Mheshimiwa Luhaga Mpina (katikati) akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Helene Weesie wakiongozana kuelekea kwenye bomba la kudhibiti wa majitaka ambalo linalenga kuhakikisha kiwango cha juu kiafya kwa kampuni, mazingira na wakazi wa maeneo yaliyo karibu. Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni ya bia ya Serengeti, John Wanyancha akifafanua jambo kwa wageni …
Waandishi wa Habari Watembelea Hifadhi ya Taifa ya Gombe
Baadhi ya wanahabari wakiwa katika Boti wakielekea Hifadhi ya Taifa ya Gombe, hifadhi maarufu kwa kuwa na mnyama aina ya Sokwe mtu. Watalii wakielekea Hifadhi ya Taifa ya Gombe. Eneo mojawapo linalotumiwa na wavuvi katika mwambao mwa ziwa Tanganyika jirani na Hifadhi ya taifa ya Gombe. Baadhi ya wanahabari muda mfupi baada ya kufika hifadhi ya taifa ya Gombe. Meneja …
UNESCO Yakutanisha Wadau Kujadili Uchafu Kwenye Maji
ILI kuhakikisha kunakuwa na usalama wa maji duniani kutokana na kuwepo kwa idadi kubwa ya vifo ambavyo vinatokana na uchafu katika maji, Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limefanya kongamano la siku moja ambalo limewakutanisha viongozi wa idara za maji za mikoa mbalimbali nchini na kutoka nje ya nchi. Katika kongamano hilo mgeni …
Askofu Dk. Gadi Kuongoza Maombi ya Siku 1001 Kuliombea Taifa
Mchungaji Palemo Massawe (kulia), akitoa ufafanuzi kwa wanahabari kuhusu mkutano huo. Askofu Dk. Charles Gadi (wa pili kushoto), na wachungaji wenzake wakiomba baada ya kuzungumza na wanahabari. Na Dotto Mwaibale Mwenyekiti wa Good News for All Ministtry (Great Vition 2000), Askofu Dk. Charles Gadi anatarajiwa kuongoza mkutano mkubwa wa kuliombea Taifa utakaofanyika kuanzia Julai 19 katika viwanja vya Biafra jijini Dar …
Naibu Waziri Wambura Asifu Ubora Kituo cha Michezo cha TSPS
Naibu waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Anastazia Wambura akikaribishwa kwenye kituo cha michezo cha Trust St. Patrick kulia ni mkurugenzi wa kituo hicho Dinna Patrick kilichopo Mkoani Arusha Mkurugezi wa kituo cha michezo cha Trust St. Patrick Dinna Patrick kilichopo Mkoani Arusha akitoa maelezo kwa naibu waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Anastazia …