CRDB Yamkabidhi Tiketi Mshindi wa Shinda na TemboCard…!

  Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (katikati), akifafanua jambo wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi ya tiketi ya ndege ya kwenda Dubai kwa mshindi wa kampeni ya ‘Shinda na TemboCard’, Juliana Utamwa (kushoto) katika hafla iliyofanyika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaama, mwishoni mwa wiki. Kulia ni Dorisia Nanage ambaye ni ndugu …

Wanafunzi Watarajiwa UDSM Wafundwa Juu ya Maisha ya Chuo

            Bi. Sadaka Gandi (mbele) mmoja wa wawasilishaji mada katika semina hiyo akizungumza jambo kwa baadhi ya wanahabari. Semina hiyo kwa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na baadhi ya wanachuo iliandaliwa na Kampuni ya Bridge Tanzania Limited kwa kushirikiana na DUFA chini ya udhamini Mkuu wa Banki ya NMB, pamoja …

Naibu Waziri Maliasili na Utalii Atembelea Hifadhi ya Taifa Rubondo

  Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwasili katika Hifadhi ya Taifa ya Rubondo. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na Kaimu Mkuu wa mkoa wa Geita, Herman Kapufi mara baada ya kuwasili katika Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo.    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara …

Tigo Yatoa Madawati 200 Wilayani Nzega

    Mkuu wa Wilaya ya Urambo Bi. Angelina Kwingwa akikata utepe ishara ya kupokea msaada wa madawati Miamoja kutoka kampuni ya Tigo kanda ya ziwa. Mkuu wa wilaya ya Urambo Bi. Angelina Kwingwa Akitoa hotuba kwa wananchi wakati wa makabidhiano ya madawati wilayani hapo.   Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Urambo pamoja na Mkurugenzi wa Tigo …

CRDB Banki Yasaidia Madawati Wilayani Kakonko

  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kakonko mkoani Kigoma Lusubilo Mwakabibi (aliyesimama kati kati) akizungumza muda mfupi kabla ya benki ya CRDB haijakabidhi madawati 100 yenye thamani ya Sh. Mil 5 kwa ajili ya shule za msingi wilayani humo.           Mkuu wa wilaya Kakonko mkoani Kigoma Kanali Hosea Ndagala (kulia) akipokea kutoka kwa Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Kasulu …

Dk Mengi Ampelekea Ujumbe Mzito Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

ILI kufikia malengo ya Tanzania kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025, Mwenyekiti wa Taasisi za Sekta Binafsi (TPSF), Dk. Reginald Mengi amemtumia Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ujumbe kupitia kwa Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama, ujumbe ambao anaamini kama ukifanyiwa kazi Tanzania itaweza kufikia malengo yake kwa haraka …