WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Profesa Makame Mnyaa Mbarawa amesema, Serikali imemalizana kimalipo na kampuni mbia wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) hivyo anataka kuiona TTCL ikizaliwa upya na kutoa ushindani wa hali ya juu katika soko la Mawasiliano nchini. Waziri Mbarawa ameyasema hayo Jijini Dar …
Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Kochanke Asifu Teknolojia ya Jua
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Egon Kochanke (wapili kutoka kushoto) akipokea maelezo juu ya betri inayotumika kuhifadhia nishati ya jua kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mobisol Thomas Gottschalk inasambaza nishati hiyo ,jana walipotembelewa na Balozi huyo Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Egon Kochanke (wapili kutoka kushoto) akipokea maelezo juu ya betri inayotumika kuhifadhia nishati ya jua kwa Afisa …
Mkuu wa Wilaya Afanya Ziara ya Kushtukiza Hospitali Teulea, Muheza
MKUU wa Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo (kushoto) alipofanya ziara ya kuitembelea Hospitali Teule kuangalia changamoto zinazoikabili kulia ni Mganga Mfawizi wa Hospitali hiyo, Malahiyo Rajabu katikati ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo aliyekaa kulia kuzungumza na …
TANAPA Yaisaidia Timu ya Riadha ya Taifa Kushiriki Olimpiki
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akitoa neno la ukaribisho kwa wanahabari na wageni wengine katika hafla fupi ya kukabidhi hundi kwa wanariadha wanaounda timu ya taifa, inayojiandaa na mashindano ya Olimpiki yatakayoafanyika mwezi Agosti nchini Brazil. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi, akizungumza wakati wa hafla fupi ya …
Makamu wa Rais Mstaafu Apagawishwa na Ngoma ya Mtoto, Nansio
WAKATI wasanii wa kundi la ngoma za utamaduni la Utandawazi wanajipanga kutumbuiza, watu wengi waliokusanyika kwenye viwanja wa shule ya msingi Bukongo mjini Nansio walikuwa wanajiuliza mtoto Gozbert Bwele (8) aliyekuwa amekumbatia ngoma alikwenda kufanya nini pale. Lakini mara tu ngoma zilipoanza kupigwa, uwanja mzima ukalipuka kwa furaha na haikushangaza wakati makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandez de la Vega, aliposhindwa …