Moto ukiwaka jioni hii kwenye godauni moja lililopo eneo la Sinza Lego, jijini Dar es Salaam. Mmoja wa kijana ambaye alifika kushuhudia tukio hilo akijaribu kupanda juu ya ghorofa baada ya kunusurika kudondokea katika moto huo. Moto ukiendelea kuwaka huku juhudi za kuzima zikiendelea Moto ukiendelea kuwaka katika godauni hilo. Baadhi ya wananchi wakishuhudia tukio hilo la kuwaka kwa godauni. Magari yakiwa …
Lowasa, Waziri Nape Waongoza Wanahabari Kumuaga Joseph Senga Dar
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) akitoa heshima za mwisho mbele ya Mwili wa aliyekuwa mpiga picha mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima na mwanahabari mkongwe Joseph Emilio Senga,katika uwanja Sinza-Uzuri jijini Dar leo. Marehemu Senga alifariki juni 27, 2016 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa moyo. Waziri wa Habari Utamaduni …
Rais Magufulia Atatua Kero ya Stendi ya Mabasi na Soko Igunga, Aamuru Kuanza Kesho
Rais Dk. Magufuli akiendelea kumsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe John Mwaipopo wakati akielezea changamoto za Stendi ya Mbasi ya abiria na Soko jipya zinazoikabili wilaya hiyo wakati wa mkutano wake wa hadhara mjini Igunga leo Jumamosi Julai 30, 2016. Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe John Mwaipopo akiandika maagizo ya Rais Dk. Magufuli kuhusiana na Stendi ya …
TAMWA Kupambana na Ajali za Barabarani Kuokoa Vifo vya Akinamama na Watoto
CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimezindua mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani ikiwa ni jitihada za kupunguza ajali za vyombo hivyo ambazo zimekuwa zikigharimu maisha ya wanawake, watoto pamoja na jamii nzima. Akizindua mradi huo Makao Makuu ya Ofisi …
Bendi 10 Maarufu Kutumbuiza Jukwaa Moja Leaders Dar
Baadhi wa wadau wa muziki wa dansi na wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo. wanahabari wakichukua taarifa hiyo. Mdau wa muziki wa dansi, Asha Baraka akizungumza katika mkutano huo kuhusu tamasha hilo la kukata na shoka ambalo alijawahi kufanyika hapa nchini. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wanamuziki hao kuhusu tamasha hilo la muziki wa …