Muanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya FEDHA Jafari Selemani akizungumzia changamoto za vijana na watanzania kwaujumla juu ya kutokufikia Uhuru wa kifedha (financial freedom) ikiwemo ukosefu wa elimu ya usimamizi fedha binafsi ambapo inapelekea umasikini wa watanzania wengi, pia alitumia nafasi hiyo kuzindua progranu ya FEDHA KLABU ambayo itakayowapa fursa vijana kupata elimu ya udhibiti fedha binafsi buree kila Jumamosi chuoni hapo. Ni …
Waumini KKKT Kulasi Wilayani Korogwe Wajenga Kanisa Jipya
Muonekano wa Jengo la Kanisa lililokuwa likitumiwa na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe. Muonekano wa Jengo jipya la Kanisa linalotumiwa na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe. Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini …
TANAPA Wakabidhi Bwalo la Chakula kwa Sekondari ya Mwika
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadiq pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi wakitia saini hati ya makabidhiano ya jengo la Bwalo la chakula katika shule ya sekondari ya Mwika jana wilayani Moshi, Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa Tanapa kwa kushirkiana na Halmashauri ya wilaya ya Moshi pamoja na nguvu za wananchi ambapo jumla ya kiasi …
Mwanahabari Joseph Senga Azikwa Kijiji cha Shushi, Kwimba
Mwili ukiwasili katika Kijiji cha Shushi Wilaya ya Kwimba Mwanza kwa ajili ya taratibu za maziko. Mama wa marehemu akilia kwa uchungu huku akifarijiwa na ndugu. Mama wa marehemu akisaidiwa kugusa mwili wa mwanae kwa mara ya mwisho kabla ya maziko. Waandishi wa habari wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Joseph Senga. Mke wa marehemu Winfrida Senga …
Mrema Aanza Kazi Azungumza na Bodaboda, Ampa Siku Saba Makonda
MWENYEKITI wa Bodi ya Taifa ya Parole, Augustino Lyatonga Mrema leo amezungumza na waendesha pikipiki za abiria maarufu kama bodaboda pamoja na waendesha bajaji wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, na kusikiliza malalamiko mbalimbali dhidi yao. Akiwakilisha kilio chao, Katibu wa Chama cha Waendesha Bodaboda na Bajaji wa Wilaya ya Kinondoni, George Mbwale alisema licha …