NSSF Yashiriki Maonesho ya 11 ya Biashara Afrika Mashariki
Mwakilishi wa Meneja Kiongozi NSSF Mwanza, Aloyce Limu akizungumza na waandishi wa habari. Ofisa Mafao wa NSSF, Farida Mkande akitoa elimu kuhusu mafao ya NSSF. Ofisa Uandikishaji wa NSSF, Kwandu Ikombe akimsajili mwanachama baada ya kuelewa somo na kuamua kujisali kama mwanachama wa hiari. Ofisa Mafao wa NSSF, Farida Mkande akigawa vipeperushi vya taarifa kuhusu NSSF. Ofisa Mafao wa NSSF, …
JKT Mgulani Wasaidia Watoto Yatima Kurasini Dar
Maofisa wa Jeshi wa kikosi hicho wakifurahi na watoto wa kituo hicho baada ya kutoa msaada wao. Msaada ukitolewa. Hapa ni furaha pamoja na watoto hao. Watoto wakipata msaada huo. Watoto wakipokea msaada. Hapa ni furaha tupu kwa watoto kwa kupokea msaada kutoka kwa wazazi wao hao. Picha ya pamoja na watoto hao na viongozi wao. Na Dotto Mwaibale …