TTCL kuwasaidia wahandisi kupata mawasiliano vijijini

    Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imesema inamajibu ya mawasiliano ya uhakika kwa wahandisi wanaofanya kazi zao maeneo yasio na mawasiliano na sasa imeanza kutoa huduma hiyo kwa wahandisi hao ili waweze kutekeleza kazi zao kwa ufanisi. Kauli hiyo imetolewa na Mhandisi Mratibu wa Huduma Mpya za TTCL, Yonah Kulanga akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa 14 …

Moto Wateketeza Nyumba Kinyerezi, Mmiliki Azimia…!

      Moto uliozuka katika nyumba moja iliyopo eneo la Kinyerezi Kanga jijini Dar es Salaam umeteketeza nyumba. Baadhi ya mashuhuda walisema moto huo uliibuka eneo la jikoni la nyumba hiyo kabla ya kuanza kuenea kwa kasi maaeneo mengine. Baadhi ya mashuhuda waliueleza mtandao huu kuwa baada ya mmiliki kupewa taarifa za moto alipoteza fahamu kwa mshtuko. Hata hivyo …

NHC Yavamia Club Bilcanas, Yamtupia Vilago Mbowe…!

          SHIRIKA la Nyumba Tanzania (NHC) limevitoa nje vyombo vya mpangaji kampuni ya Free Media wamiliki wa Gazeti Tanzania Daima na Club Bilcanas inayomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa madai ya mpangaji huyo kudaiwa zaidi ya shilingi bilioni 1.171 ikiwa ni limbikizo la muda mrefu kama malipo ya pango katika jengo lao. Vyombo hivyo …

Watetezi Haki za Binadamu Waishauri Serikali Kutowatenga

Na George Binagi-@BMG SERIKALI imeshauriwa kutoa ushirikiano kwa watetezi wa haki za binadamu ili kurahisisha utendaji kazi wao badala ya kuwaona watetezi hao kama wachochezi katika jamii na wakati mwingine kuwafungulia mashitaka. Ushauri huo umetolewa hii leo Jijini Mwanza na Mratibu wa Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini, Onesmo Olengurumwa, kwenye mafunzo ya siku tatu kwa watetezi wa haki za …