Msanii wa Bongo Fleva Linah akiwaburudisha wakazi wa Shinyanga katika Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika katika Uwanja wa Nje wa Kambarage Mjini Shinyanga mwishoni wa wiki hii. Billnas na Linah wakiimba kwa pamoja katika jukwaaa la Tigo Fiesta Niki wa Pili akionesha umahiri wa mashairi katika jukwaa la Tigo Fiesta mwishoni wa wiki hii mjini Shinyanga Msanii …
Angalia Matukio Rais Dk Magufuli Akihutubia Mjini Unguja
Viongozi mbalimbali wakiwa wamejipanga kumsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Mstahiki Meya wa Mji wa Zanzibar Mhe Khatib Abdurahaman Khatib alipowasili kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja …
Tigo Yatoa Madawati Shule ya Msingi Utegi Wilayani Rorya
Meneja wa Tigo Mkoa wa Mara, Edwin Kisamo akiongea na walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Utegi wilayani Rorya wakati wa hafla ya kukabidhi madawati kwa shule hiyo jana. Meneja wa Tigo kanda ya ziwa, Edgar Mapande akiongea na walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Utegi wilayani Rorya wakati wa hafla ya kukabidhi madawati kwa shule hiyo jana, Wengine pichani …
Jeshi la Polisi Lashiriki Maonesho ya Biashara Afrika Mashariki…!
Taasisi mbalimbali zikiwemo za Serikali na binafsi kutoka ndani na nje ya nchi zimeshiriki Maonesho ya Biashara ya Afrika Mashariki, yanayofanyika viwanja vya Rock City Mall Jijini Mwanza. Maonesho hayo huandaliwa na Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo nchini, TCCIA. Taasisi mbalimbali za Wajasiriamali, Wafanyabiashara na Viwanda hutumia Maonesho hayo kukutana na wateja wapya, kutangaza na hata kuuza …
Rais Dk John Magufuli Akiwasili Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba ambako aliweka shada la maua kwenye kaburi la Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hayati Dkt Omar Ali Juma, na kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Gombani …