Rais Dk Magufuli Amwaga Neema kwa Waliokuwa Wakazi Nyumba za Magomeni Kota

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli (katikati) akizungumza na wakazi 644 waliokuwa wakiishi katika nyumba za Magomeni Kota ambazo zilivunjwa kupisha ujenzi wa nyumba za kisasa za makazi na Biashara ambao walitelekekezwa kwa muda mrefu na manispaa ya Kinondoni na kuwafanya waishi maisha magumu. Katika hotuba yake Rais ameahidi kuwajengea nyumba  za kisasa wakazi hao  644 ambapo wataishi  …

UNESCO Yatenga Zaidi ya Bilioni 3 Kuwasaidia Watoto wa Kike…!

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Bi. Maimuna Tarishi akizungumza kuhusu mipango ya serikali kukabiliana na tatizo la watoto wa kike kukatishwa masomo. Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Wanawake (UNWOMEN), Hashina Begum akizungumzia sababu ya watoto wa kike kutokuwepo shuleni na jinsi ambavyo UNWOMEN watashiriki katika mradi wa kusaidia watoto wa kike kurudi shuleni. …

Bonanza la Kuhamasisha Michezo, Usafi na Afya Lafanyika

  Baadhi ya watu wadogo kwa wakubwa wakiendelea kufuatilia Bonanza hilo kwa makini MC Fadhili Nandonde akiendelea kutoa utaratibu wa Mechi mbalimbali zilizokuwa zikicheza katika Bonanza hilo. Mgeni Rasmi katika Bonanza hilo Albert Kimaro ambaye ni Mkufunzi Mwandamizi Idara ya Michezo Chuo Kikuu cha Dar es salaam akikagua moja ya Timu hizo katika Bonanza hilo. Mgeni Rasmi katika Bonanza hilo …