Baadhi ya wanahabari wakifuatilia semina hiyo..
Askari Polisi ‘Waadilifu’ Kilimanjaro Wazawadiwa…!
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadiq akipokea salamu za heshima kutoka kwa askari wakati wa gwaride maalum lililoandaliwa wakati wa hafla fupi ya kutunuku zawadi kwa askari 34 wa vyeo mbalimbali waliotekeleza vyema majukumu yao.kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro ,Wilbroad Mutafungwa. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Saidiq akikagua gwaride la heshima baada ya kuwasili …
Waziri Mbarawa Amteuwa Mtendaji Mkuu TEMESA
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame M. Mbarawa(Mb), amemteua Dkt. Musa Mgwatu kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA). Dkt. Mgwatu amechukua nafasi ya Mhandisi Marcellin Magesa ambaye amepangiwa majukumu mengine Wizarani . Kabla ya Uteuzi huo Dkt. Mgwatu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika Hodhi la Rasilimali za Reli (RAHCO). Katika hatua nyingine Profesa Mbarawa …
Mwenge wa Uhuru Wawasili Mkoani Singida
MWENGE wa Uhuru baada ya kuwasili mkoani Singida Mwenge huu ni ni kitu mfano wa kikombe chenye mpini mrefu na utambi ambacho aghalabu huwasha na kukimbizwa katika kusheherekea au kutukuza tukio fulani Askari wa Jeshi la Polisi wakiulinda Mwenge ishara ya kuwasili muda mfupi kabla ya kukabidhi kwa uongozi wa Mkoa wa Singida Kushoto ni Katibu tawala wa Mkoa wa …