Madereva 10 wa Tanzania Waliotekwa na Waasi Congo DRC Wawasili Nchini

     Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Suzan Kolimba (katikati), akizungumza na madereva 10 wa Tanzania waliotekwa na watu wanaodaiwa kuwa ni waasi Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), wakati wa hafla fupi ya kuwapokea iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo jioni. Kulia ni Balozi …

TTCL Yasaidia Tani 30 za Saruji kwa Waathirika wa Tetemeko Kagera

        Na Mwandishi Wetu, Kagera KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL), imekabidhi msaada wa tani 30 za mifuko ya saruji zenye thamani ya shilingi milioni kumi ili kusaidia jitihada za Serikali za kukarabati miundombinu mbalimbali iliyoathirika na tetemeko la ardhi lililotokea hivi karibuni mkoani Kagera. Akikabidhi msaada huo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salim …

DC Apiga Marufuku Bodaboda Kuendeshwa Usiku wa Manane Muheza

Mkuu wa wilaya ya Muheza Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza na bodaboda wa wilaya hiyo ambapo alikutana nao na kuzungumza nao kwenye uwanja wa Jitegemee wilayani humo ambapo alipiga marufuku kuendeshwa usiku zaidi ya saa sita.     Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza (DAS) akizungumza katika mkutano huo kabla ya kumkaribisha Mkuu wa wilaya hiyo,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo aliyekaa kushoto na anayefuata ni Mwenyekiti wa …

Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Azungumza na Wananchi Wake

Mbunge wa Simanjiro James Ole Milya akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Emboreet mara baada ya kuzindua madarasa manne katika shule hiyo yaliyojengwa kwa ufadhili wa shirika lisilokua la kiserikali la Wings of Kilimanjaro. Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya akishikana mikono na Mwanamuziki wa nchini Marekani Kristie Cooter ishara ya uzinduzi wa madarasa manne katika shule hiyo yaliyojengwa …